NYUMBA INAUZWA
NYUMBA IPO TABATA SEGEREA CHAMA IPO BARABARA KUU YA TABATA. HILI NI ENEO LA MBELE YA NYUMBA KWA MBELE KUNA FREMS 5 ZA MADUKA NA KWA NDANI KUNA WAPANGAJI Bei ni Tsh.120mil pia kuna maelewano...mtu wa kati haitajiki (hakuna garama zozote utakazo chargiwa kutembelea,kuona nyumba, au kukutana na mwenye nyumba)
contacts
0714812375
0783422874
ENEO LA MBELE LINAVYOONEKANA(toka kwenye geti upande wa kushoto mpaka kwenye frem ya 5 kulia)