Monday, January 14, 2013

VIWANJA VIPO MADALE KATA YA GOBA B


UKUBWA UNAANZIA  30X30, 35X40, 40X40
BEI INAANZIA 5mil mpaka 10mil kulingana na ukubwa wa kiwanja
conts.
0714812375
0784824832

Saturday, October 13, 2012

KWA NJE KUNA FREMS ZA MADUKA

Nyumba ina
frems za maduka kwa nje ambazo hazija kamilika
ina MASTER 1
VYUMBA VI 3 PAMOJA NA CHOO+ BAFU KWA NDANI
CHOO+BAFU KWA NJE
TANK LA MAJI KWA NJE
BATI LA KISASA (SOUTH AFRIKA)
ENEO  50X40
ENEO LA KUTOSHA KUJENGA NYUMBA NYINGINE
BEI INAANZI MIL80
contacts: 0714812375
              0784821832

SEHEMU YA NYUMA YA NYUMBA


FOR SALE

 
Mwonekano toka barabarani kwa mbele

Tuesday, July 17, 2012

NYUMBA INAUZWA

NYUMBA IPO TABATA SEGEREA CHAMA  IPO BARABARA KUU YA TABATA. HILI NI ENEO LA MBELE YA NYUMBA KWA MBELE KUNA FREMS 5 ZA MADUKA NA KWA NDANI KUNA WAPANGAJI Bei ni Tsh.120mil pia kuna maelewano...mtu wa kati haitajiki (hakuna garama zozote utakazo chargiwa kutembelea,kuona nyumba, au kukutana na mwenye nyumba)
contacts
0714812375
0783422874
ENEO LA MBELE LINAVYOONEKANA(toka kwenye geti upande wa kushoto mpaka kwenye frem ya 5 kulia)

Saturday, June 30, 2012

wadau wakuu wa blog

wadau wakuu katika blog hii wakijiandaa kwenda kwenye tukio maeneo ya mwanjelwa mkoani mbeya